Fangasi watambulikao kama invasive candidiasis
Hawa huweza kuingia kwenye mfumo wa damu na kuenda maeneo mengine nyeti sana ya mwili.
3. Fangasi watambulikao kama invasive candidiasis.
Hawa huweza kuingia kwenye mfumo wa damu na kuenda maeneo mengine nyeti sana ya mwili. Kwa mfano kwenye figo, moyo na ubongo machi, mifupa na viungia. Fangasi hawa wakiingia maeneo haya wanakuwa ni hatari sana kwa afya ha mtu.
Dalili za invasive candidiasis
Watu wenye fangasi hawa wanaonesha dalili ambao ni za maradhi mengine, hivyo kufanya vigumu kugundulika. Ijapokuwa kuna dalili ambazo ni za kawaida kama vile, kuhisi baridi, homa ambapo mgonjwa hawezi pata nafuu hata akitumia dawa.
Watu walio hatarini
- Watu ambao wapo ICU kwa muda mrefu
- Watu wenye mfumo dhaifu wa kinga
- Watu waliofanyiwa upasuaji haswa haswa uliohusisha tumbo
- Watu ambao wametumia antibiotics kwa wingi hivi karibuni
- Watu waliotumia chakula kwa kutumia mirija
- Watu wenye matatizo kwenye figo au hemodialysis
- Watu wenye kisukari
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Nini hasa chanzo cha pumu, na je inarithiwa?
Ugonjwa wa pumu ni moja katika magonjwa hatari yanayoweza kutokea kwa ghafla, na endapo itacheleweshwa kudhibitiwa inaweza sababisha athari mbaya zaidi
Soma Zaidi...Yaani minasumbuliwa na mgongo kuuma pia kuchoka mgongo na homa zisizo isha
Maumivu ya mgongo yanaweza kuwa ni dalili inayoonyesha tatizo fulani la kiafya ikiwemo magonjwa au majeraha.
Soma Zaidi...Fahamu sababu za ugonjwa unanipeleka Kuvimba kwa mishipa ya Damu
posti hii inazungumzia kuhusiana na ugonjwa wa kuvimba kwa mishipa ya damu katika mwili wako wote. Kuvimba kwa Mishipa ya Damu hujulikana Kama Behcet amboyo husababisha dalili nyingi ambazo hapo awali zinaweza kuonekana kuwa hazihusiani. Dalili na ish
Soma Zaidi...Yajuwe maradhi mbalmbali ya ini na chanzo chake
Ini ni moja ya ogani za mwili ambazo husumbuliwa na maradhi hatari sana. Katika post hii utakwend akuyajuwa maradh hatari ambayo hushambulia ini. Pia utajifunza jinsi a kujikinga na maradhi hayo.
Soma Zaidi...Sababu na Chanzo cha vidonda vya tumbo
Zijuwe sababu za kutokea kwa vidonda vya tumbo. Sababu kuu za vidonda vya tumbo hizi hapa
Soma Zaidi...Matibabu ya vidonda sugu
Some Hili linakwenda kukueleza kuhusu matibabu ya vidonda vya tumbo sugu
Soma Zaidi...