Fangasi wa kwenye uke.

Fangasi wa kwenye uke.

Fangasi hawa kitaalamu wanafahamika kama vagina yeast infection na majina mengine ya kitaalamu ni kama vagina candidiasis, u vulvovaginal candidiasis au candidal vaginitis.

Fangasi wa kwenye uke.

2. Fangasi wa kwenye uke.

Fangasi hawa kitaalamu wanafahamika kama vagina yeast infection na majina mengine ya kitaalamu ni kama vagina candidiasis, u vulvovaginal candidiasis au candidal vaginitis. Majina yete haya yanalenga vagina yaani uke.

 

Dalili za fangasi hawa wa ukeni

  • Uke kuwasha na kuweka kama makovu
  • Maumivu wakati wa tendo la ndoa
  • Paumivu wakati wa kukojoa
  • Kutokwa na majimaji yasiyo ya kawaida kwenye uke.

Wakati mwingine fangasi hawa wa kwenye uke wanakuwa hatari sana na kusababisha mipasuko kwenye ukuta wa uke, kuvimba na kuwa kwekundu. Hali hizi humfanya mwanamke kukosa hali ya kujiamini.

 

Walio hatarini zaidi

Fangasi hawa ni kawaida lakini kuna watu ambao wapo hatarini zaidi kupata fangasi hawa. Tafiti nyingi bado zinafanyika kuweza kugundua kwa nini watu flani wapo hatarini zaidi kuapa fangasi hawa. Watu hawa ni:-

  • Wajawazito
  • Wanaotumia njia za uzazi wa mpango za homoni
  • Watu wenye kisukari
  • Watu wenye mfumo dhaifu wa kinga kama wenye HIV
  • Wtu wanaotumia antibiotics

Kupambana na fangasi hawa

  1. Vaa nguo za ndani zinazotokana na pamba
  2. Usivae nguo za kubana
  3. Vaa nguo zilizo kavu
  4. Zungumza na daktari kuhusu matumizi ya antibiotics kama zinakuletea madhara

 



                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 2674

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
πŸ‘‰1 Kitau cha Fiqh     πŸ‘‰2 web hosting     πŸ‘‰3 kitabu cha Simulizi     πŸ‘‰4 ai web app     πŸ‘‰5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     πŸ‘‰6 Madrasa kiganjani    

Post zinazofanana:

Upweke (Loneliness) and athari zake kiafya.

​Katika jamii ya kisasa, upweke umetajwa na wataalamu wengi wa afya kuwa ni janga la kimya kimya linaloathiri mamilioni ya watu duniani. Makala hii inachunguza kwa kina dhana ya upweke, ikibainisha tofauti iliyopo kati ya kuwa peke yako (being alone) na kujihisi mpweke (feeling lonely). Aidha, tutaangazia athari kubwa za kiafya zinazotokana na hali hii, kuanzia magonjwa ya moyo hadi matatizo ya afya ya akili, na kutoa mwongozo wa hatua za kuchukua ili kujenga mahusiano yenye tija.

Soma Zaidi...
Matatizo yanayosababisha mshtuko wa moyo.

Mshtuko wa moyo hutokea wakati mtiririko wa damu kwa moyo umezuiwa, mara nyingi kwa mkusanyiko wa mafuta, cholesterol na vitu vingine, ambayo huunda plaque katika mishipa inayolisha moyo (mishipa ya moyo). Mtiririko wa damu ulioingiliwa unaweza kuharibu

Soma Zaidi...
Ishara na dalilili za Kichaa Cha mbwa

Posti hii inazungumzia kuhusiana na Kichaa cha mbwa ni virusi hatari vinavyoenezwa kwa watu kutoka kwa mate ya wanyama walioambukizwa. Virusi vya kichaa cha mbwa kawaida hupitishwa kwa kuuma.

Soma Zaidi...
Ugonjwa wa kuporomoka kwa mapafu (pneumothorax)

Posti hii inazungumzia Ugonjwa wa mapafu ambao hujulikana Kama pafu lililoporomoka (Pneumothorax) hutokea wakati hewa inavuja kwenye nafasi kati ya mapafu yako na ukuta wa kifua. Hewa hii hutoka nje ya pafu lako. Ugonjwa huu unaweza kusababishwa na jera

Soma Zaidi...
Kivimba kwa mishipa ya Damu

Posti hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa kuvimba kwa mishipa yako ya damu. Inasababisha mabadiliko katika kuta za mishipa ya damu, ikiwa ni pamoja na kuimarisha, kudhoofisha, kupungua na kupungua. Mabadiliko haya huzuia mtiririko wa damu, na kusababi

Soma Zaidi...