kuhusu ugonjwa wa Fangasi ya mdomo na ulimi hilo tatizo linanisumbua kwa mda napata muwasho juu ya ulimi naomba ushauli wako ili niweze kutatua hilo tatizo?”

Hivi badovunasumbuliwa na fangasi kwenye mdomo ama ulimi. Ni dawa gani umeshatumia bila mafanikio?.

Swai

' Nilikuwa nasoma kuhusu ugonjwa wa fangasi ya mdomo na ulimi hilo tatizo linanisumbua kwa mda napata muwasho juu ya ulimi naomba ushauli wako ili niweze kutatua hilo tatizo

 

Jibu: 

' Fangasi wa kwenye Kinywa wanatibika. Karibia maduka yote ya dawa dawa za fangasi wa mdomoni zinapatikana. Fika kituo cha afya ikiwa hutapata nafuu. 

 

' Unaweza kutumia fluconazole ama dawa nyingine.  Fika kituo cha afya kwa uchunguzi zaidi. 



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-10-23     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1020


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Fangasi mdomoni ni dalili ya minyoo aina gani
Zipo aina nyingi za fantasy ambazo ni rahisi kuathiri binadamu. Wipe ambao haiathiri mdomo, nyayo, shemu za siri na kwenye ngozi. Soma Zaidi...

Nini husababisha maumivu ya tumbo chini ya kitomvu kwa wanawake na wanaumr?
Makala hii inakwenda kukuletea somo linalozungumzia maumivu ya tumbo chini ya kitomvu. Ni katika maumivu amaboyo kwa wanaume mara nyingi huhusishwa an ngiri na kwa upande wa wanawake huhusishwa na chango hasa pale wanapokaribia kuingia katika siku zao. Ma Soma Zaidi...

Maambukizi ya H.pylori (Vidonda vya tumbo)
Maambukizi ya H. pylori hutokea wakati aina ya bakteria inayoitwa Helicobacter pylori (H. pylori) inapoambukiza tumbo lako. Hii kawaida hutokea wakati wa utoto. Sababu ya kawaida ya Vidonda vya tumbo, maambukizi ya H. pylori yanaweza kuwa katika za Soma Zaidi...

Maumivu ya tumbo kitovuni
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu maumivu ya tumbo kitovuni Soma Zaidi...

Ugonjwa wa mfumo wa kinga ya mwili inavyoshambulia ini.
Ugonjwa huu hupelekea kuvimba kwenye ini yako ambayo hutokea wakati mfumo wa kinga ya mwili wako unaposhambulia ini lako. Soma Zaidi...

Dalili za madhara ya figo
Posti hii inahusu dalili za figo.figo husawazisha maji mwilini pamoja na kuchuja mkojo. Soma Zaidi...

Huduma kwa wenye Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia Watu wale ambao wana Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo. Soma Zaidi...

Fahamu Ugonjwa unaosababisha madhara kwenye mapafu
Posti hii inaelezea kuhusiana na Magonjwa yanayosababisha madhara kwenye mapafu na kitaalamu hujulikana Ugonjwa wa Acute Respiratory Distress Syndrome (ARDS) hutokea wakati Majimaji yanapojaa kwenye vifuko vidogo vya hewa nyororo (alveoli) kwenye mapafu Soma Zaidi...

Dalili za maambukizi kwenye figo
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Maambukizi kwenye figo (pyelonephritis) ni aina mahususi ya maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) ambayo kwa kawaida huanza kwenye urethra au kibofu chako na kusafiri hadi kwenye figo zako. Soma Zaidi...

Madhara ya minyoo
Somo hili linakwenda kukuletea madhara ya minyoo Soma Zaidi...

Dalilili za Ngozi kuwa kavu
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Ngozi kuwa kavu si mbaya, lakini inaweza kusumbua na isipendeze, ikitengeneza mistari laini na Mikunjo. Soma Zaidi...

Ujue Ugonjwa wa homa ya ini yenye sumu.
Homa ya ini yenye sumu'ni kuvimba kwa ini lako kutokana na kuathiriwa na vitu fulani ambavyo umeathiriwa navyo. Homa ya ini yenye sumu'inaweza kusababishwa na pombe, kemikali, dawa za kulevya au viongeza vya lishe. Soma Zaidi...