Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Faida ya kutumia matunda kiafya ni zipi
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 900
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mimi ninapata maumivu kama tumbo la hedhi ila ni upande wa kushoto ,na nimaumivu makali japo ninayapata mara chache?shida sijaifahamu
Hya maumivu n yatadumu kwa muda gan au mpaka nijifunguee
Ninawashwa sana sehemu za mapaja naweza tumia dawa ganii
Ninapata maumivu chini y tumbo japoo nlienda hospitali wakanambia ni infection mbalimbali zipo tumboni wakanipa dawa za kutumiaa baada ya hapoo naonaa sipati hedhi tumbo langu linajaa gas
Habari doctor nilikua nataka nifahamu juu ya tatizo nililo nalo
Tatizo lenyew ni katika pembezoni mwa uume Wang kumepauka , pia kunatok vipere pia huwa kunawasha
Habari je kuvimba kwa mguu vitamin b itakuwa kwa wingi au imepungua