Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habari Dr mm nasikia tumbo lote linauma baada ya tendo la ndoa.maumivu ni makali na hupelekea viungo kukosa nguvu.km vile miguu na mikono inakosa nguvu na mwili mzima unakosa nguvu.tafadhari naomba msaada zaidi.
Na pia maumivu hayo huwa sio ya mda mfupi.yanachukua masaa na badae huendelea taratibu chini ya kitovu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 424