SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #781 18-03-2023 08:15:37
Question Icon

Habari,,naomba kukuuliza nimetumia Kinga ya kijit Cha miak mitatu,, Ila nimechelewa kikitowa na mara ya mwisho kuona hedhi ni tarh 4 mwez wa pili na natumikaga mpaka cku kumi na mbili ndo anakat Sasa tok hapo cjapat Tena inawezekan nikapata ujauzito ikiwa bado Nina Kinga ambaayo bado cjaitowa na imeisha muda wake? ahsantee

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 781

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi