Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habari nilikuwa nataka kuuliza unaweza pâta mimba n'a umedunga sindano ya uzazi
Ndio inawezekana endapo dawa haitafanya kazi vyema
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Sababu yamapigo ya mtoto kupungua kwamimba ya miezi Tisa nini?
Smhn ugonjwa wa ukimwi unawez kuambukizwa kutkn na mate
Mimi Nina tatizo LA kuwa nikimkojolea mwanamke shahawa baada ya dakika chache anakuwa anahisi maumivu makali tumboni mwake nimetumia dawa za hospitali lakini tatizo linazidi kuwa kubwa na si Kwa mke wangu tu nimejaribu pia Kwa wanawake wengine hali Bado ni Ile Ile.Nifanyaje Ili nikae sawa?
sababu ya ugonjwa wa majipu na tiba yake
Je hizo dalili za HIV za mwanzo zinaweza ziconekan mwakaa mzimaa tangia ile cku ulio toka kubamiana na mtuu
Bibi yangu amemaliza almost 2months hajapata cku yake ya hedhi na Hana mimba