SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #449 22-02-2023 15:43:10
Question Icon

Hello
Natatizo la fangasi kwenye mdomo ila sipati maumivu yeyote huwa npo kawaida tu.
Na chakula nakula vzr, nimetumia dawa ili kutibu uu muonekano wa ulimi uwe vzr lakn Bado cjapata dawa sahihi

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 449

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi