Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mm swali langu siku zangu ninakuja kwa mwezi mala tatu au mala nine
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 875
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mim na mume wangu tulienda kupima ospitar turi kutwa na ugogwa wa UTI tuli pewa dawa lakini tuka mariza dozi leo ule ungwa ume rudi tena lakin ana twako na ute kama usaa pia ana washwa jee tatizo nini?
Ila tarehe moja nikishirik tendo kabla mume wangu hajasafiri na ilitakiwa tarehe 18 mwezi huu nianze perio ila hadi leo sijapata period leo ni siku ya sita nimepitiliza
Asante kwa elimu je maandazi ni chanzo cha maji
ukichanganya majani ya muarobaini, karafuu,na thaumu kisha ukavitwanga inaweza kutibu jino
Ni mkojo tu unauma na nikimaliza kidamu kidogo kinatoka ni mkojo tu
Naam inawezekan Mtu kupungua uzito kwa sababu ya msongo wa mawazoo??