Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je mtu anaweza kutumia dawa akiwa kwenye siku za hedhi?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1161
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je nyanya inaweza kukuletea athari katika mwili kivipi?
Samahan unaweza kuuamini vip Kama una ujauzito
Habari ya saa,Naomba kujua mke wngu ana mimba ya mwezi mmoja sasa ila akivua chupi yake huwa na ute ulio changanyik na damu kiasi ,hii ni dalili gan naomba msaada
Habari naomba kuuliza eti mimba huanza kuonekana siku ya ngap
Samahani Mimi Toka juzi Kuna Hali naiyona tumbo linanium alafu cpati amu ya kula kabisa nikila natapika itakuwa ni Nini naomba nisaidie na chuchu zinauma na kuwasha sana
Habar naomba kuuliza kuharisha kwa zaid ya wiki mbili lakini kwa muda maalum ni dalili ya ugonjwa gani