Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Jana alikuja alielua mume wangu akawaambia watu kua nimemuacha s mke wangu je nataka kujua ikiwa ni lazima akicha kue na mshahid wa kweli je hapo talaka imepita na kama imepita anafaa kunipa karatas au haifai
Talaka inaswihi hata kama hakuna mashahidi.
Pia talaka inaswihibkwa matamshi ama kwa karatasi ama kwa kuashiria endapo hawezi kutamka.