Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kisonono ni nini na kinaambukizwaje?
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Kama nahisi maumivu kwenye kinena nililala hata nikitembea ndio kabisa mimba yangu cjui Ina week ngap lakini nahic miezi 9 imefika
Samahani kwa usumbufu naomba tu kuuliza au kupata ushauri kutoka kwenu, Mimi ni mjamzito ninaujauzito wa miezi 3 sasa lakini nimeamka asubui kwenda kukoga nikakuta chupi imechafuka pasipo maumivu ya aina yoyote Yale Ila imetoka kidogo tu Je, hii inakuaje inakua hivi au nifanyaje ili hali hii isiendelee? Maumivu yoyote sisikii kabisaa niko vizuri
Ugonjwa wa kisukari unaweza kutibika?
dr nilipita saloon za kisasa hizi bahat mbaya nikashawishika ujana huu bc dada akanifanyia massage Yani handjob au kufanyish punyeto kwa kunishk shk sehem zang nyet ,,naulz km aiwez kuwa risk kw maambukiz maan zmepit week 3 nikapat mafua week nzima,
Kwaiyo milija ya uzaz ukiwa umeziba unatibiwa vip unapatiwa daw amaa
Habar,ivi naeza kupata mimba ikiwa natumia uzazi wa mpango njia ya kitanzi cha miaka 10?