Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Samahani kwa usumbufu naomba tu kuuliza au kupata ushauri kutoka kwenu, Mimi ni mjamzito ninaujauzito wa miezi 3 sasa lakini nimeamka asubui kwenda kukoga nikakuta chupi imechafuka pasipo maumivu ya aina yoyote Yale Ila imetoka kidogo tu Je, hii inakuaje inakua hivi au nifanyaje ili hali hii isiendelee? Maumivu yoyote sisikii kabisaa niko vizuri
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1261