Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kuonyesha kwamba mwanamke ana mimba matone ya damu hutoka sku ngapi?
Hakuna muda maalumu yanaweza toka mara moja tu ama zaidi ama yasitokee kabisa.
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Ni njia zipi za kuboresha mbengu za kiume ili mwanamke aweze kupata mimba??
Nisaidie dalili za ukimwi baada kuupata after 1 weak
Jaman naomba kusaidiwa nimekunywa majibu kwà lengo la kutoa mimba changa lakini tumbo linaniuma chini ya kitovu,nimeharisha ,it's mzigo sanaa umetoka ukiwa na rangi ya maziwa na tumbo likiwa linauma ni kama vile nataka kuingia period je mimba umetoka au bado
Me naitaji kujua dalili. Ama viashilia vya vvu
Ninashid ya kuumwa na tumbo upand wa Julia Kwa chin tatiz ni nin
Nina mtoto mmoja ana umr wa miaka kumi Sasa toka hp nikaja kupata mimba ikatoka hd Sasa Kila nikijaribu kutafuta mtoto mwingne imeshindikana