Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kutema mate,kukauka lips,n maumivu y tumbo inatokana n nini?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 315
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je kwa mwanaume alie mpa mimba mwanamke ana kua kwenye hali gan ??
Ni msichana namiaka 30.nahitaji kujua dawa ya chango.
Samahan naomba kujua wakat wa kukojoa matone ya mwanzo yanatoka na usaa kidogo hii Ni dalili ya ugonjwa gani?
ninasumbuliwa sana na upungufu wa vitamin c tangu mwaka 2022 pia napatwa na vidonda mdomoni mara kwa mara vinachukua mda mrefu kupona je nitumie dozi gani na kwa mda gani
Kufany kwa vijibu ambavo huwasha katika eneo la mbele la uume ni tatizo gani
Habar jee ukiwa mjamzito namimba ishafika wiki 37 unaweza kuzaa na mtoto akapona na ukijihis sehemu ya uke inajaa nidalili gn