SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #664 09-03-2023 04:38:01
Question Icon

Mimi nilikua na shida ni muhanga kutafta mtoto  nilipima nikaambiwa na pld nimetumia dawa nimemaliza pia nilingia p talehe22 mwezi2 mzunguko wanguni28 Hadi leo nina siku kumi na tano chakushangaza nasikia maumivu ya tumbo chini Kama visindano na usingiz  pia gesi tumboni na maji maji yanatokea lakini hayana harufu je shida yaweza kua Nini hapo

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 664

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi