Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mwili unapungua sjiskii ham ya kula pia hii unaweza kuwa dariri ya vvu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 962
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je hizo dalili za HIV za mwanzo zinaweza ziconekan mwakaa mzimaa tangia ile cku ulio toka kubamiana na mtuu
Naomba kuuliza je kwa mtyu mwenye mzunguko wa siku 28 akishiriki tendo la ndoa cku ya kumi kutoka cku ya kuanza mp mfano mp nmeanza trh 6 then nkafanya mapenz trh 15 je napata ujauzito
Samahani Mimi siku hii ya leo nzima mdomo wangu Ni mchungu naomba unisaidie nijue sababu Ni nini
Je, mtu anaweza pata ujauzito akishiriki tendo siku ya 11 katika mzunguko wake,, na dalili za ujauzito zinaonekana kwa muda gani baada ya kushiriki tendo?? na kutokwa na uteute wenye rangi nyeupe mzito unaweza kuwa dalili ya ujauzito??.
Je mimba ya miez 6 inasababisha kuumwa kiuno
Kuhala sana ndio dalili za mwanzo pia au mpaka ugojwa ukomae