SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #513 25-02-2023 17:44:17
Question Icon

Nahisi Nina dalili za fangasi ukeni je naweza kutumia dawa gani

 

Ni michubuko ukeni alafu muwasho na maumivu pia nyama za pembeni zimevimba yani hata nikijigusa tu naumia

 

Alafu swali langu lingine uke kua mkavu pia Kuna daw ya kuleta utelezi?

JIBU

Ni kweli hiyo ni dalili ya tangazo. Kama upo karibu na duka ka dawa fika mwambie akuoatie anti fungi lotion yaani zile dawa za fangasi za kupakaa. 

 

Kama kunatokea uchafu mueleze zipo sawa za kuingiza anaweza kukupatia. Hata hivyo ni vyema zaidi kufika Kituo cha Afya kwa matibabu ya uhakika. 

 

Kuhusu uke kiwa mkavu,  Tunu kwanza fangasi. Kisha ukiona na tatizo likiwa endelevu muone daktari huwenda akakuoatia dawa za homoni. 

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi