Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Naomba kufaham historia ya imamu shafii na kitabu chake cha usul al-figh
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 989
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
nina swali.mke wangu alikataliwa na ndugu asirudi kwangu nayeye akakubali leo sina mawasilia miezi 4 sasa je Bado kuna ndoa japo?
Suali langu kwanini mwanamke anatolewa mahari?
Ni nini kifanyike ili lengo la nguzo za uislamu zifanikiwe. Hoja nne
a.alyeikum swali langu ni kuhusu mirathi mume amekufa ameacha watoto 5 wa kiume na watoto 5 wa kike na ana wake 2 na wazazi wake wote wa mume wameshafariki mgawanyo ukoje?
Naomba kuuliza taratibu za kupata cheti cha ndoa. Ndoa ya kiislam imefungwa na shekhe, kwa kawaida taratibu za kupata cheti cha ndoa baada ya ndoa kufungwa zikoje / kinapatikanaje? Na ni Baada ya muda gani?
Aslm alkm.Ni mitume gani walikuwa ni waarabu Kuna ambao ni wa Israel na waarabu