Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nataka kujifunza makala za ulaji wa vyakula
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 317
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Hya maumivu n yatadumu kwa muda gan au mpaka nijifunguee
Mm tumbo linaniuma alafu hedhi inatoka lakini so nyingi lakini pia nkiponyeza matti yangu yanatoa maziwa je itakuwa ni nn?
Pia Kuna uwezekano mwanamke kua na ujauzito pasipo discharge yaani kutokwa na damu
Habar docktor samahani gome la mwembe nasukutulia au nakunywa???
Mm ninafangas uken nimechubuka nitumie daw gan
Niliwahi kufanyiwa operation ya ectopic pregnancy na nikakatwa mrija 1 wa uzazi hapa nna mrija 1 tu wa uzazi ingawa nilibahatika kuzaa mtt1 kwa njia ya kawaida namshkuru Sana mungu nataman kuzaa Tena ila sishiki mimba sijui kwa nn