Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nauliza mke wa Nabii Nuhu alikuwa anaitwa nani?
Inasemekana anaitwa Naamah
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ Jee inafaa kwa mtu mwenye madeni kutoa zakatu fitri?
Nauliza hv unaposwali swala yeyoe kuna dua yake au unaweza soma sura yoyote unayoijua
Je? Hawa waislam waliofunga Katie lipinski cha mwezi waradhan na wako na wake ambao hawajafunga nao ndoa japo wamekaa nakuzaa watoto zaid ya watatu je funga hizi zinaswihi?
Jee tunaweza kuangalia wasia anoacha mgonjwa mahututi aliouacha
mtume Muhammad alikuw na Wake wangap?
Naomba nifundishwe jinsi yakunuwia swala ya ijumaa