SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #1226 21-05-2023 04:38:04
Question Icon

Niko na swali hapa nilitoa mimba na week mbili zimeisha na natokwa na discharge za white ukeni na sometimes nakuwa na hamu ya kufanya mapenzi n a inatoweka ghafla pia Niko na mawazo sana nikapima leo kipimo cha mkojo nikapa majibu mistari mbili moja iko clear na ya pili haiko clear hiyo inamaanisha nini

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1226

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi