Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Vp me nina tatizo kupasuka mdom yaan kubabuk
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1251
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Dalili za kichwa kuuma na kizungu zungu zina ashilia nn
Je? Sababu inakua ni nin mpaka mimba inafikia mie mitat inatoka
Ninasiku kama yatatu kichwa kinauma nakinapoa bado sijui nikitu gani naomba msaada
Bibi yangu amemaliza almost 2months hajapata cku yake ya hedhi na Hana mimba
Swali lang mim Kila kunapo ingia usiku natokwa na vipel vidovidog mwil mzima na kukikalibia kukucha tu vipele vyote upotea kinacho bak niviungo vyang baaz kama mkon na ckunyengine mkono unaacha kuuma unafat mkuu na muda mwengine viungo haviumi vinatoka vipele tu sas cjajuah shida nin au nidalil ya nin.
Mm tatzo langu asubuhi nikiamka utumbo unakuwa unauma misili yakuwa kama nna sku tatu sjala