Faida za kula Nazi

Faida za kula Nazi

Nazi ni katika matunda bora sana kiafya, Soma faida zake kwa afya yako

Faida za kula Nazi

18.Nazi (coconut oil)
Kunatafiti zaidi ya 1500 zinathibitisha kuwa nazi ni katika matunda yenye afya kuliko matunda yote. Nazi ni katika vyakula vya fati na hutambulika kama medium-chain fatty acids (MCFAs). Ambapo mafuta ya nazi yapo katika aina tatu za fatty asidi ambazo ni Caprylic acid, Lauric acid na Capric acid. Asilimia 62 za mafuta ya nazi yametokana na aina hizi tatu.

Tafiti zinaonesha kuwa mafuta yaliyopo kwenye nazi ni salama kabisa na pia mwili unachukuwa muda mchache kuyameng’enya kuliko mafuta yanayopatikana kwenye minea mingine. Tafiti zinaonesha kuwa mafuta ya nazi yanapitia hatua kuu tatu tu katika kumeng’enywa wakati huo mafuta yatokayo kwenye mimea mingine yanapitia hatua 26 mpaka kumeng’enywa.

Ulaji wa nazi unasaidia katika kutibu afya ya ubongo pamoja na kuzuia ugonjwa kusahau (Alzheimer’s Disease). Tafiti zinaonesha kuwa ulaji wa aina hizi tatui za mafuta (fatty acid) hupelekea ini kutengeneza ketones. Ketones husaidia katika kuupa ubongo nguvu na afya na uwezo wa kufanya kazi vyema. Pia tafiti zinaonesha kuwa mafuta ya nazi hulinda mwili kupata magonjwa ya moyo na shinikizo la damu la juu (high blood pressure)

Nazi hutibu UTI, ini na mashambulio kwenye figo. Tafiti zinaonesha lkuwa maji ya nazi yanaweza kutumika kuondoa vijiwe kwenye figo (kidney stones). Pia mafuta ya nazi yanaweza kuondoa na kuuwa bakteria waliop kwenye njia ya mkojo. Tafiti za kisayansi zinaonesha kuwa mafuta ya nazi yanasaidia katika kulinda afya ya ini.


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 3836

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉2 Dua za Mitume na Manabii     👉3 Bongolite - Game zone - Play free game     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉6 web hosting    

Post zinazofanana:

VYAKULA VYA WANGA NA MADINI

Kuna aina nyingi za vyakula kama mafuta, wanga, fati, protini na vitamini. Je! unajuwa faida zake na hasara zake?

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula fenesi

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fenesi

Soma Zaidi...
HOMA YA DENGUE, DALILI ZAKE, TIBA YAKE, CHANGO YAKE NA INA SABABISHWA (AMBUKIZWA) NA MBU GANI

Homa ya dengue hupatikana sana Afrika, Asia na baadhi ya maeneo ya Caribbean.

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula samaki

Posti hii itakwenda kukupa faida za kula samaki kwenye mwili wako.

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za mchaichai/lemongrass

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mchaichai/lemongrass

Soma Zaidi...