Mkojo usio wa kawaida huwa na vitu vifuatavyo.

Mkojo usio wa kawaida huwa na vitu vifuatavyo.

Posti hii inahusu zaidi Aina ya mkojo usiokuwaa wa kawaida uwa na vitu vifuatavyo, ukiona dalili kama hizo wahi mapema hospitalini Ili upatiwe huduma.

Mkojo usiokuwaa wa kawaida.

1.Harufu ya mkojo usiokuwaa wa kawaida huwa na harufu ya Ammonia, hii umaanisha kuwa Kuna maambukizi ya bakteria, pia mkojo ukiwa na harufu ya samaki aliyeoza  umaanisha kuwa Kuna usaha kwenye mkojo kitendo hiki Cha kuwa na usaha kwenye mkojo kwa kitaamu huitwa pyuria. Na wakati mwingine mkojo huwa na harufu nzuri hali hii umaanisha kuwa Kuna  sukari nyingi kwenye damu hasahasa tatizo hili uwakumba watu wenye kisukari.

 

2. Uzito wa mkojo,

Mkojo inabidi uwe wa kawaida kwa sababu ya kuwa na vitu ambavyo vinafaa kuwa humor, lakini mkojo ukiwa mzito Ina maana Kuna vitu ambavyo vimeingia na havipaswi kuwa humor, kwa mfano kitendo Cha kuwepo kwa sukari kwenye mkojo, mkojo huwa na uzito kuliko mkojo ambao hauna sukari ndani yake, kitendo Cha mkojo kuwa na sukari kwa kitaalamu huitwa GLYCOSURIA, na mtu mwenye sukari mkojo wake huwa mzito ukiulinganisha na mtu asiyekuwa na sukari.

 

3. Kitendo Cha kushindwa kutoa mkojo nje uko unasikia unataka kutoa mkojo huo nje kitendo hiki kwa kitaalamu huitwa Urinary retention, hii utokea kwa sababu mbalimbali inawezekana ni kwa sababu ya maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo au ni kwa sababu ya catheter kama umewekewa kwa mda mrefu, hii hali ikitokea kwa mtu siyo kawaida na haitajiki kuwepo kwa mtu, kwa hiyo na hii ni mojawapo ya mkojo kuja kwa njia zisizo za kawaida.

 

4. Mkojo kupita kwenye kibofu Cha mkojo bila taarifa ya mhusika na kutoka nje na mtu kuja kuzuia inakuwa vigumu, hii utokea kwa sababu ya kulegea kwa misuli iliyopo kwenye kibofu Cha mkojo na kitendo hiki kwa kitaamu huitwa Urinary incontinence, na tatizo hili vile vile uwapata wanawake wanapomaliza kujifungua ambapo sehemu ya kuifadhia mkojo ulegea na mkojo kuanza kutoka Ila ugonjwa huu unatibika sana hospitalini na Katika vituo mbalimbali vya afya kwa hiyo watu wasijifiche wajitokeze wakatibiwe.

 

5. Kwa hiyo tunaona mkojo ambao sio wa kawaida tukiangalia rangi, namna ya kutoka,uzito wake kwahiyo inatupasa kutambua ni mkojo upi na usio wa kawaida na kuchukua matibabu.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Huduma Main: Post File: Download PDF Views: 2497

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Simulizi za Hadithi Audio     👉3 Bongolite - Game zone - Play free game     👉4 web hosting     👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉6 ai web app    

Post zinazofanana:

Kazi ya madini mwilini

Posti hii inakwenda kukueleza kuhusu kazi za madini mwilini

Soma Zaidi...
Upungufu wa vyakula na madhara yake

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vyakula

Soma Zaidi...
Huduma ya Kwanza kwa mwenye kizunguzungu

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu mwenye kizunguzungu

Soma Zaidi...
Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

Soma Zaidi...
Fahamu kuhusu madhara ya uzito mkubwa

Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa mtu mwenye uzito mkubwa,kwa kawaida ili mtu aweze kuwa na uzito wa kawaida ni vizuri na kiafya kupima urefu ukilinganisha na uzito wa mtu.

Soma Zaidi...
Madhara ya kuchelewa kutibu tatizo la kiafya

Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea endapo tatizo halijatibiwa.

Soma Zaidi...