image

Namna ya kuchoma chanjo

Posti hii inahusu zaidi namna ya kuchoma chanjo, ni njia ambazo utumika kutoa chanjo kwa watoto na watu wazima kwa utaratibu uliowekwa.

Namna ya kuchoma chanjo.

1.Kwanza kabisa unapaswa kumsalimia mteja na kujitambulisha kwake na yeye kujitambulisha kwake na pia unapaswa kutoa elimu kuhusu chanjo unavyoenda kutoa chanjo.

 

2.Baada ya hapo unapaswa kuandaa vifaa vya kumchoma mteja chanjo kama vile chanjo yenyewe na hakikisha kama imepita mda wake, andaa bomba la kuchoma chanjo, tray ya kuwekea vifaa na mahitaji yote yanayohitajika.

 

 

3.Kuandaa sehemu kwa ajili ya mgonjwa, na  pima dawa kwa kadiri ya hitaji na kama kuna chanjo mbili yaani ya matone na sindano unapaswa kuanza na matone na baadae unamalizia na sindano kwa kufanya hivyo  inaepuka usumbufu kutoka kwa mtoto.

 

 

4.Baada ya kumchoma mtoto chanjo unatupa bomba kwenye box maalum na pia unamshukuru Mteja kwa ushirikiano aliouonyesha na ujamwambia tarehe ya kurudi kama hajamaliza chanjo.

 

5.Unampatia mteja nafasi ya kuuliza maswali , hakikisha unatoa majibu sahihi kama hauna majibu sahihi usijibu swali unaweza kuuliza kwa wahudumu wengine na kuhakikisha kubwa mteja ameondoka na jibu sahihi.

 

 

6.Unarudisha vifaa kwenye sehemu yake.

Na wakati wa kurudisha vifaa hakikisha kuwa temperature ya kwenye box la kutunzia chanjo iko sahihi yaani kuanzia 2 mpaka nane kama zinakuwa kati ya hizo hiyo ni sahihi kama ni juu yake au pungufu hali hiyo si sahihi kwa hiyo tunapaswa kufanya utaratibu unaofaa.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Huduma Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 990


Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉2 Simulizi za Hadithi Audio     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 Kitau cha Fiqh     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Aina za kuungua
Post hii inahusu Aina za kuungua, kuungua ni Hali ya kubabuka kwa ngozi ya mwili na kusababisha madhara mbalimbali Soma Zaidi...

Faida za minyoo
Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za minyoo Soma Zaidi...

Kazi za chanjo ya polio
Posti hii inahusu zaidi kazi ya chanjo za polio na kazi zake,hii ni chanjo ambayo unazuia maambukizi ya Virusi vinavyosababisha polio. Soma Zaidi...

Mambo yanayosababisha kupona kwa vidonda.
Posti hii inahusu mambo yanayochangia katika kupona kwa kidonda, ni mambo ambayo yapo kwa mgonjwa mwenyewe kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

Njia za kuzuia kiungulia
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kuzuia kiungulia Soma Zaidi...

Zijue kazi za uke (vagina)
Uke ni sehemu ambayo imo ndani ya mwili wa mwanamke, sehemu hii ufanya kazi mbalimbali hasa wakati wa kujamiiana, kubarehe na kujifungua kwa mama. Soma Zaidi...

Nini husababisha kizunguzungu?
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo mbalimbali ambayo husababisha kizunguzungu. Soma Zaidi...

Huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu
Posti inahusu huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu.huduma ya kwanza Ni kumsaidia mtu alie pata jeraha au ajali kabla hajamwona dactari au kufika hospitalinia. Soma Zaidi...

Namna ya kuzuia ugonjwa wa kipindupindu,
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kipindupindu ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria kwa kitaalamu huitwa vibrio cholera. Soma Zaidi...

Faida za kusafisha vidonda.
Posti hii inahusu zaidi faida za kusafisha vidonda, ni faida ambazo Mgonjwa mwenye vidonge uzipata kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

Huduma ya Kwanza kwa mtu aliyeng'atwa na nyoka
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyeng'atwa na nyoka Soma Zaidi...

Njia za kujikinga na UTI
Somo hili linakwenda kukuletea njia za kujikinga na UTI Soma Zaidi...