Quran haikunukuliwa kutoka kwa mayahisdi na wakristo
(vi)Madai Kuwa Mtume (s.
(vi)Madai Kuwa Mtume (s.a.w) Aliandika Qur-an kwa Msaada wa Mayahudi na Wakristo:
Tunakutana na madai mengine kuwa Mtume (s.a.w) aliandika Qur-an baada ya kusoma Biblia au wengine wanadai kuwa alifundishwa na Mayahudi na Wakristo ndio naye akaandika Qur-an kwa kuzingatia wakati na watu aliokuwa nao. Makafiri wa karne hii sio tu walioanzisha madai haya bali madai haya ni makongwe kama ilivyo kongwe Qur-an yenyewe.
Pametolewa madai mengi ya namna hii kuanzia karne hizo za kushushwa Qur-an kwa Mtume (s.a.w) mpaka hivi leo. Hebu tuangalie dai hili la baadhi ya makafiri wa karne hizi za usoni ambalo limegawanyika katika sehemu zifuatazo:
(a)Dai la Kufundishwa na Padri Bahira:
(b)Dai la Kunakili Biblia
(c)Dai la Kufundishwa na Jabir na Yasir:
Kurasa zijazo tutakwenda kuona dai moja moja kati ya haya na udhaifu wake.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Dua za Mitume na Manabii 👉2 Kitabu cha Afya 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Aasbab Nuzul surat Ash sharh: sababu za kushuka alam nashrah (surat Ash sharh)
Makala hii itakwenda kukufundisha sababu za kushuka kwa alam nasharah yaani Surat Ash sharh.
Soma Zaidi...Sababu za kushuka kwa Surat At-Takaathur
Wanazuoni wengi zaidi wanakubaliana ya kuwa sura hii surat At-Takaathur ilishuka Makka, na hizi ndio sababu za kushuka kwa sura hii
Soma Zaidi...As-Sab nuzul
Sababu za kuteremshwa baadhi ya sura Katika darsa hii tutaangalia sababu za kushuka kwa aya na sura ndani ya quran.
Soma Zaidi...yaliyomo: HUKUMU YA MIM SAKINA, NUN SAKINA, MADA, WAQFU, QALAQALA, TAFKHIM NA TARQIQ, USOMAJI WA QURAN
DARSA ZA TAJWID YALIYOMOSURA YA 01 .
Soma Zaidi...Makundi ya Id-ghamu katika usomaji wa Quran Tajwid
Kama tulivyoona kuwa id-ghamu ipo katika aina kuu mbili ambazo ni id-ghamu bighunnah na id-ghamu bighair ghumnah. Sasa hapa tutajifunza makundi mengine ya idhgamu.
Soma Zaidi...