picha

Samahan naomb kujua staili za tendo la ndoa

Post hii inakwenda kujibu swali la muulizaji. Kuhusu syyle za tendo la ndoa

😍Samahan naomb kujua staili za tendo la ndoa

 

👙 Jibu

Kuhusu style za tendo la ndoa zipo nyingi zaidi ya 15. Hata hivyo staili nzuri ni ile ambauo itakayowafikisha watu wawili hao kileleni. 

 

Staili zinatofautiana na si zote ambazo mshiriki wa tendo atazifurahiya. Staili nyingine zinakuwa na maumivu zonapotumika kwa muda mrefu.  Pia zipo ambazo zinahitajia mazoezi. 

 

Sasa ni ipo style bora: 

Jibu style bora inategemeana na utayari wa wahusika.  Tafitivzonaonyesha kifo cha mende au missionar style ni nzuri zaidi kwa kuwa inawezesha uume kupita vyema endapo itatumika kwa ufasaha. 

 

Hatavhivyo kwa baadhi ya wanawake inawezabkusababisha maumivu ta tumbo wakati wa tendo au baada.  Hii inawezabkutokea endapo uume utakwenda ndani zaidi,  au endapo mwanamke atamezavhewa nyingi. 

 

Style nyingine zitakuwa bora zaidi kulingana na tendo litakavyofanyika.  Kwa mfano hakuna haja ya kufanya kwa kasi sana. Kwani hali hii inaweza kusababisha michubuko hatimaye maumivu zaido. 

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 2022/05/14/Saturday - 10:36:42 pm Topic: magonjwa Main: Afya File: Download PDF Views 7645

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    👉3 Kitau cha Fiqh    👉4 Dua za Mitume na Manabii    👉5 ai web app    👉6 Kitabu cha Afya   

Post zinazofanana:

Namna ya kuishi na vidonda vya tumbo

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kuishi na vidonda vya tumbo

Soma Zaidi...
Dalili za ugonjwa wa macho.

Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa macho, ugonjwa huu kwa kawaida una dalili kuu tano kadri ya maambukizi yanavyoongezeka na madhara yake kwa hiyo tunapaswa kujua dalili hizo Kama ifuatavyo.

Soma Zaidi...
Sababu za maumivu ya tumbo

hapa utajifunza maradhi mbalimbali yanatopelekea kuwepo kwa maumivu ya tumbo

Soma Zaidi...
Dalili na ishara za Ugonjwa wa akili.

Posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa akili .

Soma Zaidi...
Ugonjwa wa Kuvimba ubongo (Encephalitis)

Post hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa kuvimba kwa ubongo ambao kitaalamu huitwa Encephalitis, Ni Maambukizi ya virusi ni sababu ya kawaida ya hali hiyo. Ugonjwa wa Kuvimba ubongo unaweza kusababisha dalili zinazofanana na Homa, kama vile Homa au

Soma Zaidi...
Jinsi ya kujikinga na mafua (common cold)

Posti hii inazungumzia dalili na namna ya kujikinga tusipate mafua .mafua kwa jina lingine hujulikana Kama baridi ya kawaida (common cold).baridi ya kawaida husababishwa na virusi kwenye pua na hutoa makamasi.

Soma Zaidi...
Dalili za maambukizi kwenye figo

Posti hii inazungumzia kuhusiana na Maambukizi kwenye figo (pyelonephritis) ni aina mahususi ya maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) ambayo kwa kawaida huanza kwenye urethra au kibofu chako na kusafiri hadi kwenye figo zako.

Soma Zaidi...
Dalili za maambukizi kwenye magoti

Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo mtu anaweza kupata ikiwa Kuna maambukizi kwenye magoti, kwa sababu mbalimbali ambazo usababisha maumivu au maambukizi kwenye magoti Kuna dalili za mwanzo ambazo zinajitokeza kama tutakavyoona hapo chini

Soma Zaidi...
Tufanyeje ili kuepuka kuaribika kwa figo?

Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia kuaribika kwa figo, hizi ni njia zinazotumika ili kuweza kupunguza tatizo la kuaribika kwa figo na hasa wale ambao hawajapata tatizo hili wazitumie ili tuone kama tutaweza kupunguza tatizo hili.

Soma Zaidi...