Vjinywaji salama kwa mwenye kisukari ni kama:-


  1. Maji
  2. Chai isiyo na sukari
  3. Kahawa isiyowekewa sukari ama kunywewa na vitu vitamu kama kashata
  4. Juisi ya tomato (nyanya) ama tango, pia isiwe kwa wingi
  5. Vinywaji vya wanamichezo ambavyo havikuwekewa sukari
  6. Baadhi ya vinywaji vingine visivyo na wanga
  7. Juisi ya mbogamboga