JITIBU KWA MUAROBAINI: faida za kiafya za muarobaini
1.
FAIDA ZA MUAROBAINI
1.Kutibu vidonda
Hii hifanyika kwa kusaga majani ni muarobaini kasha unapaka majimaji yake kwenye kidonda kwa. Hivi utafanya kwa uchache kwa siku. Fanya hivi mpaka kidonda kikauke.
2.kutibu matatizo ya macho
Hii hufanyika kwa kuchemsha majani ya muarobaini. Subiri mpaka maji yapoe kasha tumia maji haya kusafisha macho yako. Husaidia miwasho ya macho na matatizo mengineyo
3.matatizo ya masikio
Saga majani ya muarobaini kasha changanya na asali. Tumia matone machache ya mchanganyiko huu kwenye sikio.
- kwa muasho wa ngozi
Saga majani ya muarobaini kasha paka kwenye ngozi
5.husaidia kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili. Kunywa glass ya maji ya majani ya muarobaini yaliyochemshwa.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Fahamu aina mbalimbali za Magonjwa nyemelezi ya moyo
Posti hii inahusu zaidi aina mbalimbali za Magonjwa ya moyo,kwa kawaida tunajua wazi kuwa kuna moyo mmoja lakini moyo huo unaweza kushambuliwa na magonjwa kwa kila aina kwa mfano kuna Maambukizi kwenye mishipa ya moyo,au kubadilika kwa mapigo ya moyo na m
Soma Zaidi...Kwa nini kung’atwa na mbu hakuambukizi UKIMWI?
Ingawa mbu hunyonya damu kwa binadamu, hawana uwezo wa kueneza virusi vya UKIMWI (VVU). Sababu ni kwamba virusi vya VVU haviwezi kuishi wala kuzaliana ndani ya mwili wa mbu, na pia mbu hawaingizi damu ya mtu mmoja kwa mwingine wanapong’ata.
Soma Zaidi...Kisukari cha Aina ya 2: Dalili 10 za awali unazotakiwa kuzijua.
​Kisukari cha Aina ya 2 (Type 2 Diabetes) ni janga la kimataifa la kiafya linalokua kwa kasi, huku watu wengi wakiishi na hali hii bila kujijua. Post hii inachunguza kwa kina dalili 10 za awali, ikitoa mwongozo wa kitaalamu wa jinsi ya kutambua mabadiliko ya mwili, umuhimu wa utambuzi wa mapema, na hatua za kuzuia madhara ya muda mrefu kupitia mabadiliko ya mtindo wa maisha.
Soma Zaidi...Magonjwa ya zinaa
Posti hii inahusu magonjwa ya zinaa, ni magonjwa yanayosambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia ya kujamiiana pasipo kutumia kinga au kwa lugha nyingine tunaita ngono zembe.
Soma Zaidi...Dalili za kuvimbiwa kwa watoto.
Kuvimbiwa kwa watoto ni shida ya kawaida. Kuvimbiwa kwa watoto mara nyingi huonyeshwa na kinyesi kisicho kawaida au kinyesi ngumu na kavu.
Soma Zaidi...Vyakula Vinavyosaidia Afya ya Uzazi kwa Mwanamke: Mwongozo wa Lishe Bora
Muhtasari (Executive Summary) ​Afya ya uzazi ya mwanamke inategemea kwa kiasi kikubwa uwiano wa vichocheo mwilini (hormonal balance), afya ya mayai (oocytes), na mazingira salama ya mfuko wa uzazi. Lishe duni inaweza kusababisha matatizo kama kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi au ugumu wa kupata ujauzito. Makala haya yanachambua vyakula vya asili vinavyosaidia kuimarisha mfumo wa uzazi wa mwanamke, kuboresha ute wa uzazi, na kuongeza nafasi ya kushika ujauzito kwa njia salama.
Soma Zaidi...