image

Vyakula vyenye maji kwa wingi

Somo Hili linakwenda kukuletea vyakula vyeny maji kwa wingi na umuhimu wake mwilini

VYAKULA VYENYE MAJI KWA WINGI

1. Tikiti

2. Tango

3. Nanasi

4. Machungwa

5. Madanzi

6. Mapensheni

7. Miwa

8. Mapapai

9. Mastafeli

10. Matunda damu

11. Komamanga

 

 

Faida za maji mwilini

1. Kulainisha viungo

2. Husaidia katika utengenezwaji wa mate na makamasi

3. Husaidia katika usafirishwaji wa oksijeni mwilini

4. Huboresha afya ya ngozi

5. Huboresha afya ya ubongo, ugwe mgongo na milango ya fahamu

6. Husaidia katika kupunguza joto

7. Mfumo wa mmengenyo wa chakula unategemea maji

8. Husaidia katika kuondosha ushafu ndani ya mwili

9. Hutdhibiti shinikizo la damu

10. Huzuia uharibifu wa figo

11. Husaidia katika kupunguza uzito

           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1268


Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

JITIBU KWA KITUNGUU THAUMU: faida za kiafya za kitunguu thaumu
Kitunguu thaumu ni katika viungo vya mboga na chakula. Soma Zaidi...

Vyakula vyenye maji mengi kwa wingi
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kunywa chai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa chai Soma Zaidi...

Faida za mbegu za papai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mbegu za papai Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula topetope/ accustard apple
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula topetope/ accustard apple Soma Zaidi...

Faida za kula papai
Posti hii inaonyesha Faida za kula papai.papai Ni tunda na Lina leta afya,nguvu na kuujenga mwili. Soma Zaidi...

Karanga (groundnuts)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karanga Soma Zaidi...

Faida za biringanya/ eggplant
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za biringanya/ eggplant Soma Zaidi...

je ni vipi vyakula vyenye protini kwa wingi?
Makala hii iatakuletea aina kuu tano za vywkula vyenye protini nyingi zaidi. Kama ulikuwa unajiuliza kuwa ni vyakula ipi hasa vinaweza kukupatia protini kwa wingi ni vipi, makala hii ndio majibu yako kwa swali hilo. Soma Zaidi...

ELIMU YA UJAUZITO, MIMBA NA KIZAZI
Soma Zaidi...

Faida za kula tikiti
Ukubwa wa tikiti unasadifu yaliyopo, kwani kuna fgaida akubwa sana za kiafya katika kula tikiti Soma Zaidi...

Upungufu wa vitamini C na dalili zake mwilini
makala Soma Zaidi...