Wanaopasawa kutumia PEP

PEP Ni dawa ambazo utumiwa na watu wanaojamiiana na watu wenye virus vya ukimwi ila wenyewe hawawezi kupata kwa sababu ya kutumia dawa hizo.

Wanaopasawa kutumia PEP.

1. Kwanza kabisa tunapaswa kujua maana ya PEP kwa kitaalamu ni post exposure prophylaxis kama nilivyotangulia kusema kuwa ni dawa ambazo utumiwa na wale wanaojamiiana na watu wenye maambukizi ya ukimwi na hawawezi kupata ugonjwa wa ukimwi lakina dawa hizi zinatolewa hospital hasa kwenye vituo vya kuhudumiwa wagonjwa wenye maambukizi ya ukimwi, unaenda pale unaeleza Nia Yako na unapatiwa. Ili kupunguza ongezeko la virus vya ukimwi wafuatao wanapaswa kutumia dawa hizo.

 

1.wanaofanya biashara ya ngono.

Kwa wale wanaofanya kazi hizi ni vizuri kutumia dawa hizi kwa sababu ya kukutana na watu wengi mbalimbali na wenye magonjwa mbalimbali Ili kuweza kupunguza kuendelea kuwepo au kusambaa kwa ugonjwa huu na watu Hawa wanapaswa kuwasiliana na watoa huduma kwenye vituo hivi na watapata msaada.

 

2. Wanaume wanaojamiiana na wanaume wenzao.

Na Hawa ni watu walio katika hatari ya kupata ugonjwa huu wa ukimwi kwa sababu Leo anejamiiana na mwanaume huyu kesho na mwingine kesho kutwa na mke wake na hao aliojamiiana nao pia na wenyewe Wana wapenzi wao hali hii usababisha kuendelea kuenea kwa ugonjwa wa ukimwi, kwa hiyo Ili kuepuka kuendelea kuwepo kwa ugonjwa wa ukimwi ni lazima kufatilia dawa mapema Ili kuweza kuepuka kupata ugonjwa.

 

3. Watu wanaovuta madawa ya kulevya kwa kutumia sindano.

Kwa kawaida tunajua watu Hawa nao wako kwenye hatari ya kupata ugonjwa wa ukimwi kwa sababu sindano Moja inaweza kutumiwa na watu zaidi ya kumi na huwezi kujua ni nani mwenye maambukizi kwa hiyo ni vizuri kabisa kutumia dawa Ili kuepuka hatari ya kuwaambukiza wengine.

 

4. Pia watoto ambao wameanza kubarehe na hawatulii na wenyewe kama tunaona wako kwenye hatari ya kupata ugonjwa wa ukimwi wapatiwe Ili pale wakitulia waache, kwa kufanya hivyo ni kuwasaidia Ili katika umri mdogo wasipatwe na maambukizi na kukatisha ndoto zao.

 

5. Kwa hiyo hizi dawa zinapatikana hospital na unaenda unajieleza na unapatiwa hata ukijamiiana na mtu mwenye maambukizi huwezi kupata ila uliamua kuacha kazi ambayo inakuingiza kwenye hatari ya kupata maambukizi unaweza kuacha na kuendelea na maisha ya kawaida, kwa hiyo uaminifu wa kutumia dawa ni lazima pamoja na kufuata mashart.

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/05/22/Sunday - 07:33:15 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1360

Post zifazofanana:-

Nini husababisha upungufu wa nguvu za kiume
Post hii itakujulidha mambo ambayo hupunguza nguvu za kiume Soma Zaidi...

Papai (papaya)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula papai Soma Zaidi...

Waislamu wanaolazimika kufunga
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Kucha langu LA mguu linang'ooka...nini chaweza kuwa tatizo
Je na wewe unasumbukiwa na kunggoka jwa kucha. Tatizo limekunaza una muda gani nalo? Soma Zaidi...

Namna ya kusaidia vijana wakati wa kubarehe
Post hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia vijana wakati wa kubarehe, ni njia za kuhakikisha kuwa vijana wanakuwa na mwelekeo , Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula karanga
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karanga Soma Zaidi...

Kazi ya Dawa ya salbutamol
Posti hii inahusu dawa ya salbutamol na kazi yake ya kutibu ugonjwa wa Asthma, ni dawa mojawapo ambayo imetumia na watu wengi na wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa, kwa hiyo zifuatazo ni kazi ya Dawa hii ya salbutamol katika kutibu Asthma. Soma Zaidi...

Sababu ya maumivu ya magoti.
Posti hii inahusu zaidi sababu za maumivu ambayo yanasikika kwenye magoti, huu ni ugonjwa ambao umewapata walio wengi na bado ni kilio kwa walio wengi kwa vijana na kwa wazee, Kuna wataalamu mbalimbali ambao wameweza kugundua sababu za maumivu kwenye mago Soma Zaidi...

Mambo yanayochangia katika makuzi ya mtoto
Post hii inahusu zaidi mambo yanayochangia katika makuzi ya mtoto, mtoto katika makuzi yake anahitaji kutunzwa vizuri Ili akue kwa afya nzuri bila magonjwa Soma Zaidi...

Fahamu Ugonjwa wa Saratani ya uke
Saratani ya uke'ni Saratani'adimu'inayotokea kwenye uke wako mrija wa misuli unaounganisha uterasi na sehemu zako za siri. Saratani ya uke'mara nyingi hutokea katika seli zilizo kwenye uso wa uke wako, ambao wakati mwingine huitwa njia ya uzazi. Wan Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula tango
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tango Soma Zaidi...

Vyakula vya kupunguza presha ya kupanda
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula ambavyo vinaweza kupunguza presha ya kupanda Soma Zaidi...