Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Hello Mimi nasumbuliwa Kila nikimaliza tendo uume unauma sana
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1073
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nasikia kukosa nguvu na. Mikono kuishiwa nguvu pia vidole kufa ganzi naema pia kwa nguvu sana
Mkewang anatatiz lakuumiya san tumbo na sehem yasir nazaid tukifanya mapenz napiya anamimba bd changa
Dockta mm naumia tumbon nasikia maumivu makali misuli inavuta.pia nikila chakula nashiba upande mmoja nashindwa kujua shida nn
Me nilitoa mimba ikatoka ilivotoka baada ya mwezi mumoja nikawa cijaingia periodi nikaenda kukutana na mwenza wangu tulipomaliza kufanya nikameza p2 je mimba itatungwa Tena upya au haitatungwa
naombaa kuuliza swali minyoo inapokuwa mingi zaidi haiwezi kuhusika na upungufu wa nguvu za kiume?
Mama mjamzito anatakiwa kufanya mapenzi mpaka miezi mingapi