Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je maji kwenye ovari ni dalili ya kukaribia kwa hedhi?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 490
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Swali langu ni, ovarian cyst ya cm10 inaweza kupona kwa dawa au ni lazima operation, kama inaweza kupona kwa dawa bac naomba kujua ni dawa gani inaweza kutibu,
Habari za saizi nilikuwa naomba kuuliza daktari tezi zangu za shingo zimekua Saiz ya haragwe kwa takribani mwezi lkn hazium shida nini apo
Naweza kua na upunguf wa nguv za kiume na nikshilik naenda muda mlef mpak mwenzangu anasema anechok wakat mm sijajua haj yang?
Samahani kwa usumbufu naomba tu kuuliza au kupata ushauri kutoka kwenu, Mimi ni mjamzito ninaujauzito wa miezi 3 sasa lakini nimeamka asubui kwenda kukoga nikakuta chupi imechafuka pasipo maumivu ya aina yoyote Yale Ila imetoka kidogo tu Je, hii inakuaje inakua hivi au nifanyaje ili hali hii isiendelee? Maumivu yoyote sisikii kabisaa niko vizuri
Na je Kuna complication gan anazopata mtyu akitoa ujauzito wa wiki mbili
Mimi ni muhanga wa uvimbe kwenye titi na ninanyonyesha