Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kwema, je hii swala ya dhuha nitaiswalije au hatua zake zikoje kipindi cha kuswali hii swala
utaiswali kama unavyoswali swala nyingune ama sunnahnyingine. Kitu kilichibadilika hapo ni muda wa kuswali.
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Jee nduguzake na Nabii YUSUFU walikua na mama mmoja au kila nduguye na mamake?
Kuna watu wameona bomani mwanamke amefariki muislam mume mkristo katika utaratibu wa mirathi hapa ikoje na ameacha wazazi wawili yaani baba na mama na watoto watatu walizaa katika hiyo ndoa yao ya bomani
Kwanin tunasema samiaallah limanihamida hatusemi Allah akibalu
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh. Mimi nna suali kuna mtu kafa alizaa mtoto mmoja mtoto wa kiume kafa kabla ya mama . Baadae mama kafa hana mtoto mwengine ila kuna wajukuu wa mtoto wake huyo mmoja wa kiume aliyekufa na pia kuna dada yake baba mmoja hao tuu ndio waliomzunguka wakaribu wengine ni watoto wa dada zake jee mirathi hapo inakuaje?
Watu wengi wanasema wakisoma Qur'an sawa ameongea kiarabu swali langu ni kwamba kuna tofauti yoyote kati ya kiarabu na Qur'an au hakuna tofauti
Asalam ALEYKUM,,,Ninahoji kitu ki1" " ktk mawaidha flani ,shekh alitoa namna ya kuoga,(Janabah) shekh asema nivizuri ukaanza na kutawadha kwanza ndipo uonge,,Sasa iweje nianze na kutawadha Ndipo nioge,AMA kuna namna sijamwelewa,kwasbb sasa kila 1 awa Mtoa mawaidha kadri anavyojua yeye, asante,,Asalam