Bongoclass

Je unahitaji kutengenezewa Android App
FEATURED STORY

Je unahitaji kutengenezewa Android App

Bongoclass tunatoa Fursa ya kupata huduma ya kutengenezewa App...

Soma Makala

Makala Mpya:

Jinsi ya Kurejesha Chat za WhatsApp

​Kurejesha ujumbe wa WhatsApp kunategemea kama ulikuwa umewasha kipengele cha Chat Backup. Tutajadili jinsi ya kuwasha kipengele hiki ili ujumbe......

Jinsi ya Kutumia Chromecast

​Makala haya yatakuelekeza hatua za kuunganisha kifaa cha Chromecast kwenye TV, kusanidi mtandao wa Wi-Fi, na jinsi ya kuanza kurusha......

Jinsi ya Kuokoa Betri ya Simu

Makala haya yanakupa mbinu madhubuti za kuzuia betri ya simu yako kuisha haraka. Tutajadili mipangilio ya skrini, matumizi ya intaneti,......

Jinsi ya Kubadili PDF kuwa Picha

umewahi kupokea faili la PDF lenye picha au maandishi muhimu, lakini ukashindwa kuliweka kwenye WhatsApp au Instagram kwa sababu mtandao......

Jinsi ya Kutatua Simu Isiyowaka

Makala haya yameandaliwa kwa lugha rahisi ili kumsaidia kila mtumiaji wa simu kutatua tatizo la simu kutowaka. Tutaangalia sababu za......

Jinsi ya Kutatua Simu Isiyochaji

Simu yako ikikataa kuingiza umeme (kuchaji), usipaniki. Tatizo hili mara nyingi husababishwa na vitu vidogo kama uchafu kwenye tundu la......

About

Kuhusu Bongoclass

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.

Mchanganyiko