picha
JAVASCRIPT - SOMO LA 7: JINSI YA KUTUMIA LOGICAL OPERATOR KWENYE JAVASCRIPT

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia logical operator kwenye javascript. Katika somo hili tutakwenda kutumia mahesabu.
picha
JAVASCRIPT - SOMO LA 6: JINSI YA KUFANYA MAHESABU KWENYE JAVASCRIPT

Katika somo hili utajifunza kuhusu matendo ya hesabu ambayo ni kugawanya, kujumlisha, kuzidisha na kutoa
picha
JAVASCRIPT - SOMO LA 5: JINSI YA KUPANGILIA MAANDISHI WAKATI WA KU OUTPUT KWENYE JAVASCRIPT

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kupangilia muonekano wa maandishi (text) wakati wa ku out put matokeo ya code
picha
JAVASCRIPT - SOMO LA 4: JINSI YA KUANDIKA VARIABLE KWENYE JAVASCRIPT

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuandika variable. Hapa utajifunza sheria zinazohusu variable katika javascript
picha
JAVASCRIPT - SOMO LA 3: SHERIA ZA UANDISHI WA CODE ZA JAVASCRIPT YAANI SYNTAX ZA JAVASCRIPT

Katika somo hili utakwenda kujifunza sheria ama syntax za kuandika javascript. Hii itakuwezesha kuelwa zaidi code za javascript.
picha
JAVASCRIPT - SOMO LA 2: JISI YA KU PRINT OUTPUT YA CODE ZA JAVASCRIPT.

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza ku display matokeo ya code za javascript.
picha
JAVASCRIPT -SOMO LA 1: KWA NINI NI MUHIMU KUJIFUNZA JAVASCRIPT

Katika somo hili utajifunza kuhusu historia ya javacsript pamoja na kazi za javascript. Pia utayajuwa makampuni makubwa yanayotumia javascript.
picha
PHP - SOMO LA 48: JINSI YA KUZUIA HACKING KWENYE SYTEM YA KUJISAJILI NA KU LOGIN

Katika somo hili utajifunza jinsi ambavyo utaweza kutengeneza mfumo wa kuisajiki na ku login, kisha kuangalia usalama wa mfumo kwa kuzuia sql injection.
picha
PHP - SOMO LA 47: JIFUNZE KUHUSU SQL INJECTION NA KUIZUIA

Katika somo hili utajwenda kujifunza jinsi ya kuzuia hacking kwenye website yako
picha
PHP - SOMO LA 46: NINI MAANA YA CRONJOB NA MATUMIZI YAKE

Katika somo hili utajifunza kuhusu cronjob na matumizi yake kwenye PHP
picha
PHP - SOMO LA 45: JINSI YA KUTUMA SMS KWA KUTUMIA PHP

Katika soko hili takwenda kujufunza jinsi ya kutuma sms kwa kutumia PHP. Hii itasaidia kama unataka kutuma OTP yaqni Onetime password
picha
PHP - SOMO LA 44: NINI CURL NA NI YAPI MATUMIZI YAKE?

Katika somo hilibutajifunza maana ya cURL pamoja na matumini yake
picha
PHP - SOMO LA 43: JINSI YA KUTUMA EMAIL KWA KUTUMIA PHP

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutuma email kwa kutumia email() function ya PHP. Hii ni njia rahisi zaidi ya kutuma email. Ila hufanya kazi kwenye hosting.
picha
PHP - SOMO LA 42: JINSI YA KUFANYA ENCRYPTION NA DE CRYPTION KWA KUTUMIA PHP

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya encryption na decryption kwa kutumia PHP. hii itakusaidia kuongeza usalama kwenye taarifa za watu
picha
PHP - SOMO LA 41: JINSI YA KUFANYA HASHING KWENYE PHP

Katika somo hili utajifunza jinsiya kufanya hashing taarifa muhimu kama password. Kufanya hashing kunaongeza usalama wa taarifa za waumiaji kwenye blog yako.
picha
PHP - SOMO LA 40: JINSI YA KUTUMIA HTACCESS FILE KUBADILISHA MUONEKANO WA LINK

Katika somo hili uatakwenda kujifunza jinsi ya kutumia htaccess ili kubadili muonekano wa link ya website ama blog ili kuifanya iwe rafiki zaidi.
picha
PHP - SOMO LA 39: JINSI YA KUTENGENEZA MAFAILI NA MAFOLDA KWENYE SERVER KWA KUTUMIA PHP

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuzungumza na server ili kutengeneza mafaili, mafolda, kufuta na ku edit kwa kutumia PHP.
picha
PHP - SOMO LA 38: JINSI YA KU UPLOAD MAFAILI ZAIDI YA MOJA KWA KUTUMIA PHP

katika somo hili utajifunza jinsi ya ku upload multiple file yaani mafaili mengi kwa wakati mmoja kwa kutumia PHP
picha
PHP - SOMO LA 37: JINSI YA KUTENGENEZA BLO POST KWA KUTUMIA PHP

Katika somo hili utajifunza jinsi ambavyo unaweza kutengeneza blog ambayo utaweza ku upload faili na kuandika makala kwa kutumia PHP
picha
PHP - SOMO LA 36: JINSI YA KU UPLOAD TAARIFA ZA MAFAILI KWENYE DATABASE KW AKUTUMIA PHP

katika somo hili utajfunza kukusanya taarifa za mafaili. kisha ku upload hayo mafaili. kisha kuandika hizo taarifa za mafaii kwenye database
picha
PHP - SOMO LA 35: JINSI YA KU UPLOAD MAFAILI KWA KUTUMIA PHP

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku upload mafaili kwenye server kwa kutumia PHP
picha
PHP - SOMO LA 34: JINSI YA KUTUMIA DO LOOP, WHILE LOOP NA FOREACH KWENYE PHP

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za loop DO, FOR, FOREACH LOOPS kwenye PHP
picha
PHP -SOMO LA 33: MATUMIZI YA WHILE LOOP KWENYE PHP

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuandika while loop kwenye PHP
picha
PHP - SOMO LA 32: JINSI YA KUTUMIA FILTER_VAR() FUNCTION KWENYE PHP

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia filter_var() function kwa ajili ya kuchuja code zilizo hatari kwenye PHP file



Page 8 of 196

Kuhusu Bongoclass


image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.