picha
PHP - SOMO LA 28: MAANA YA CONSTANT KWENYE PHP NA KAZI ZAKE

Katika somo hili utajifunza kuhusu maana ya constanta pamoja na matumizi yake. Pia utazijuwa sheria za uandishi wa constant
picha
PHP - SOMO LA 27: AINA ZA VARIABLE KWENYE PHP

Katika somo hili utakwenda kujifunza aina kuu 3 za variable katika PHP mabzo ni local variable, global variable na static variable.
picha
PHP - SOMO LA 26: JINSI YA KUTENGENEZA SYSTEM YA KU CHAT KW AKUTUMIA PHP

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutengeneza system ambayo mta atajisajili pamoja na kuchat na watumiaji wengine
picha
PHP - SOMO LA 25: JINSI YA KUKUSANYA TAARIFA KUTOKA KWENYE HTML FORM KWA KUTUMIA PHP

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kukusanya taarifa ambazo watu wamezijaza kwa kutumia fomu ya html. Kisha utajifunza jinsi ya kuzisoma hizo taarifa.
picha
PHP - SOMO LA 24: JINSI YA KU UPLOAD FILE KWENYE DATABASE NA KULISOMA KW AKUTUMIA PHP

Katika somo hili utajifnza jinsi ya ku upload file kwenye database. Kisha utajifunza jinsi ya kulisoma faili hilo kwa kutumia php
picha
PHP - SOMO LA 23: JINSI YA KUTUMIA CONDITION STATEMENT KWENYE DATABASE KWA KUTUMIA PHP

Katika somo hili utakwenda kuona namna ya kutuia if else kwenye data zilizopo kwenye database kwa kutumia PHP
picha
PHP - SOMO LA 22: KUTAFUTA JUMLA, WASTANI NA IDANI YA VITU KWENYE DATABASE KW AKUTUMIA PHP

Katika somo hili utakwenda jifunza jinsi ya kuhesabu row kwenye database, kutafuta wastani wa taarifa kwenye database na kutafuta idadi yake.
picha
PHP - SOMO LA 21: JINSI YA KUTAFUTA KITU KWENYE DATABASE KWA MUTUMIA PHP

Katika somo hili utakwenda kujifundisha jinsi ya kutafuta taarifa maalumu kwenye database kwa kutumia PHP
picha
PHP - SOMO LA 20 : JINSI YA KUFUTA NA KU UPDATE DATA KWENYE DATABASE KWA KUTUMIA PHP

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku update na kufuta data kwenye database kwa kutumia PHP
picha
PHP SOMO LA 19: JINSI YA KUDHIBITI MPANGILIO WA DATA BAADA YA KUZISOMA

Katika somo hili utajifunza kupangilia data wakati wa kuzisoma kwenye database kw akutumia PHP
picha
PHP - SOMO LA 18: JINSI YA KUSOMA DATA KUTOKA KWENYE DATABASE KWA KUTUMIA PHP

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database kwa kutumia PHP.
picha
PHP - SOMO LA 17: JINSI YA KUINGIZA DATA KWENYE DATABASE KWA KUTUMIA PHP

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuingiza data kwenye dtabase kwa kutumia PHP.
picha
PHP - SOMO LA 16: JINSI YA KUFUTA TABALE NA DATABASE KWA KUTUMIA PHP

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufuta table ya databse kwa kutumia PHP. Pia utajifunza jinsi ya kututa database yeto
picha
PHP - SOMO LA 15: JINSI YA KUTENGENEZA TABLE KWENYE DATABASE KWA KUTUMIA PHP

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PHP kutengeneza tabale kwenye database ya mysql .
picha
PHP - SOMO LA 14: JINSI YA KUTENGENEZA DATABASE KWA KUTUMIA PHP

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PHP kutengeneza database kwenye mysql database.
picha
SQL - MYSQL SOMO LA 12: JINSI YA KUTAFUTA WASTANI, JUMLA NA IDADI KWENYE DATABASE

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya mahesabu mbalimbali kwenye database. Kwa mfano kutafuta jumla, idadi na wastani
picha
PHP - SOMO LA 13: JINSI YA KUUNGANISHA DATABASE NA WEBSITE

Katika somo hili utajifunza jinsi ya ku connect database, kwa kutumia php
picha
SQL - MYSQL SOMO LA 11: KUDHIBITI MUONEKANO WA USOMAJI WA DATA KWENYE DATABASE.

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kupangilia muonekano wa data kutoka kwenye database, kwa kudhibiti mpangilio wake.
picha
SQL - MYSQL SOMO LA 10: KUPANGILIA MUONEKANO WA DATA WAKATI WA KUZISOMA KWENYED DATABASE

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database katika mitindo mbalimbali kama kutoka kubwa kwenda ndogo, ama ndogo kwenda kubwa na mingineyo.
picha
SQL - MYSQL SOMO LA 9: JINSI YA KUSOMA DATA KWENYE DATABASE

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database. Pia utajifunza jinsi ya ku limit kiasi cha data ambazo zitaonekana.
picha
SQL - MYSQL SOMO LA 8: JINSI YA KUWEKA DATA (TAARIFA) KWENYE DATABASE

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuweka data kwenye database, ku edit pamoja na kufuta kwa kutumia SQL na Myql interface
picha
SQL - MYSQL SOMO LA 7: JINSI YA KUBADILI JINA TABLE NA COLUMN KWENYE DATABASE

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kubadili jina la table na jina la column kwenye mysql database.
picha
SQL - MYSQL SOMO LA 6: JINSIBYA KUTENGENEZA TABLE KWENYE DATABASE

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza table za database
picha
SQL -MYSQL SOMO LA 5: AINA ZA DATA ZINAZOTUMIKA KWENYE MYSQL DATABASE

Katika somo hili utakwenda kujifunza aina mbalimbali za data zinazotumika kwenye mysql database



Page 9 of 196

Kuhusu Tehama


image