Pata majibu ya maswali yanayokuhusu
Je najisi ya mbwa kukuramba inaenea? Kwa mfano akakulamba ww kwenye mkono halafu wewe ukaja kunisalmia mimi nikakushika sehem ileile alokulamba mbwa
26-03-2023 10:20:10
Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuhu, mimi nimemuachia mke wangu zakatul fitri aigawe ,bahati mbaya mlengwa katafutwa zaidi ya mara mbili hakupatikana ,kaja kupatikana baada ya swala ya iddy, nini hukumu ya hiyo zaka?
21-04-2023 15:03:14
Jee mgawanyo wa dhakatul fitir ni sawa na mgawanyo wa dhakatul Mali kwa mbea nane?
20-04-2023 05:26:46
Nilikua naomba unisaidie jinsi ya kunuia swala ya usiku ile ya haja
06-03-2023 07:54:00
Je kula chakula ni ibada Au ni ada
09-03-2023 04:36:32
Shaikh samahan nauliza nini hukumu ya mwanamke asiyemtii mumewe katika mambo ya kheri?
05-04-2023 04:13:21
nilitaka uniambie umuhimu wa kuamini qadar ktk maisha ya kila siku
26-01-2023 04:55:53
Nini kilicho mfanya bukhadija afariki alikuw anaumwa au?
31-03-2023 07:59:47
Je ni yapi masharti ya funga/saum
26-03-2023 04:24:33
اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ Jee inafaa kwa mtu mwenye madeni kutoa zakatu fitri?
17-04-2023 13:22:00
Mjane akiacha Mali halafu akawa Ameacha watoto wa Tano mmoja mwislam wengine wakristo na mjane alikuwa mwislam, swali langu Hawa watoto ambao ni wakristo Wana haki ya kumrithi mama Yao? Naomba unisaidie majibu pamoja na kifungu kitakacho patikana juu ya jibu lako. Asante
30-01-2023 18:37:42
As,alykum,فتنةا،نقلب علاوجهه ndugu .muislamu,naomba,nisaidie,endapo nitasimama kwenye,neno fitnatun.neno la mbele nitalianzaje?
31-01-2023 06:01:34
Naomba kuliza Kama mke yupo mbali kumrejea mke alieachwa talaka moja kwa njia ya simu inafaa au haifai?
21-03-2023 16:33:43
Nina swali mutu kuwa na mate machungu ndani ya miezi 6 ni dalil yq ukimwi?
07-03-2023 17:22:05
Naomba kufahamu kunabaadhi y waumini wanaacha swala y faradh wanaswali tarawehe. Je? Hii imekaaje shekh nifafanue
16-04-2023 05:49:02
asalam aleykum samah naomba kuuliza,endapo nimemkuta imamu anaswalisha ile nimefika tu akarukuu na mimi nikarukuu je nitaesabika niko nae sawa kama ni swala ya adhuhuri.
06-04-2023 12:07:39
Nilikuwa nahitaji mafundisho zaidi kwenye suala la kuswali na dua zake ili niweze kuswali kikamilifu na kusimamisha swala bila kumkwaza allah
14-03-2023 05:47:57
Naomba kujuwa Masharti 5 ya vazi la kiislam
23-02-2023 05:26:34
Ustadh A'laikum, mimi nna suala hapa je ukitaka jambo lako fulani lifanikiwe dua gan ambayo unatakiwa kuomaba?ilo jamboo la kherii tu
27-03-2023 18:10:17
Marehemu ameacha mke na mtoto miaka 10, wazazi wote baba na mama yake wamefariki mali ya marehemu itarithishwa nani na kwa mafungu gani
10-02-2023 04:22:35
Asalaaam aleykum ndugu naweza kupata. Maana ya jina la Ulya ndani ya quran tukufu. Sura na ayat
26-02-2023 09:48:26
Assalamualaikum warahmat llah wabarakat... Samahan nlikuw naswali ni ipi hukmu ya mwanamke kupaka dawa Kam pambo Kwa mme wake
06-05-2023 06:34:27
Asalm allykum jee km ikitokea mwnamke akamwambia mume kuwa ukifanya ktu fln ndio talaka yng najiacha mwenye je mwanaume akafany kile kit hapo itakuwa n talaka Ikiwa mime hajakubalin n hilo
05-05-2023 05:09:49
A,aleikum
Mwanamke akiwa kwa eda ndo kwanza anaanza kuuachwa je inarusikika mke uyo kwenda kwa kadhi na kudai talaka ?
30-01-2023 16:58:22
Je itaondokaje hadathi kubwa kama pakikosekana maji
28-02-2023 03:46:50
Aslm alykum ,kunasuramaalum katikasala yadhuha? Na Dua yake tafadhali
19-02-2023 07:27:23
Mimi ni mwanaume na ninamiaka 32 naomba kujua maneno ya kikao cha tahyatu
06-03-2023 11:06:49
Swallat tahajjud ina rakaa ngapi?
24-03-2023 05:53:27
Asalsm
Alayku.nilikuwa nauliza yafaa kumpa mamamdogo zakatil fitri
22-04-2023 08:36:15
Naomba dalili za kufunga na kufungua kwa kufuata muandamo wa nje ya mji
22-04-2023 08:32:05
ASALAM ALEIKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH Mama mdogo katangulia mbele ya haki. Alizaa mtoto mmoja tu wa kiume na alifariki kabla ya mama. Suali jee wajukuu wa huyu mama wanamrithi. Ana wajukuu 7 wakiume 3 nawakike 4 Pia huyu mama ana ndugu yake wa kike wa baba mmoja vipi na yeye anapata mirathi
26-01-2023 04:55:13
Naombaa unisaidie vitabu vya dinii vilivyo andikw kw kiarabu na kwa kiswahilii ambavyo naweza kuvitaa mtandaonii mfan hadithi za mtume fiqhi na siraa
21-03-2023 08:49:48
Je katika rakaa mbili za mwisho katika sala ya tahhijut unasoma tu surah alifatih basi au unasoma na surah zingine
20-04-2023 05:26:05
Wakati wa kuswalia mait,Yawezekana unapenda kuswali,Maiti wako,ila humjuzi wa hiz Dua, yafaa nikafanya kwa vitendo? Siri yangu Kimoyomoyo,?
03-03-2023 10:57:34
Je damu ya vidudu vidogo vidogo ina toa udhu mfano kama damu ya mbu nk
08-05-2023 07:49:56
Kwan mbon wanasema kusom dua kabr yakumuswalia Mtume nakabr yakutoa slm nidua gan nakuomb nisayidie
10-02-2023 08:22:59
Asalam aleikum Mimi nna swali nataka hoja zinazo thibitisha kuwepo siku ya mwishoo Kwa ushahidi wa ayaa?
27-02-2023 06:12:41
Mm na tanataka kujenga nyumba kama ya mtume Muhammad swalallahu aley wasalam ❤️. Je nitapataje ramani ya nyumba ya mtume Muhammad swalallahu aley wasalam
10-02-2023 16:21:17
Assalaam alaykum...mimi nauliza endapo mmeshazaa mtoto na we mwanamke ukadai talaka je mwanaume ana haki ya kudai mahari yake ingawa umeshazaa nae?
09-03-2023 13:20:51
Nataka kuuliza historia ya uislamu baada ya kutawafu mtume ni mada ya form ngapi
25-03-2023 18:52:27
Eleza jinsi dini ya uislam unavyoweza kumkomboa mwanaadam na sio venginevyo
30-01-2023 15:56:10
Ni nini kifanyike ili lengo la nguzo za uislamu zifanikiwe. Hoja nne
23-03-2023 08:27:30
nyenzo anazotumia mwanaadamu kujielimisha ambazo ni dhaifu
30-01-2023 16:11:05
Ninaweza kupata dawa yakukawiya wakati yakitendo cha ndowa ?
06-03-2023 11:07:52
Assalaam a'laykum warahmatullahi wabarakaatuh! Shaykh mimi nauliza kuwa mke wangu ananiudhi kwa kuwasiliana na wanaume ambao sio mahrim zake na nikimgomea husema hawezi kuacha kuwasiliana nao hata nikimpa nasaha. Naomba nasaha nifanyeje maana nimefikisha kesi hadi kwa wazazi wake ila bado ananiambia kuwa Mimi nimemuowa yeye ila simu yake hainihusu.
10-02-2023 04:41:52
Kuna mafunzo ambayo waislamu wanayapata kutokana na historian ya maimamu wa fiqhi
24-02-2023 08:13:39
Ninapo fanyia kazi niwa kristu mana nyumba nzima ime zunguukwa na misalaba na biblia je inaswihi kuswali katika nyumba hiyo
05-04-2023 08:48:03
Sababu zinazopelekea kutofikia lengo la zakka na sadaka
14-03-2023 05:46:47
Je? Hawa waislam waliofunga Katie lipinski cha mwezi waradhan na wako na wake ambao hawajafunga nao ndoa japo wamekaa nakuzaa watoto zaid ya watatu je funga hizi zinaswihi?
02-04-2023 06:05:18
Kuna watu wameona bomani mwanamke amefariki muislam mume mkristo katika utaratibu wa mirathi hapa ikoje na ameacha wazazi wawili yaani baba na mama na watoto watatu walizaa katika hiyo ndoa yao ya bomani
23-03-2023 07:20:57
Naomba kufaham historia ya imamu shafii na kitabu chake cha usul al-figh
05-04-2023 04:07:23
Shekh zangun kwanza nashkur kwakutoa fursa hii ya kuuliza isichokijua ktk din yetu swali langu nikwamba miminikienda kuswali mskiti ambao hausomi Bismillah kwenye swala za sauti swala yangu itakuwa sawia ama batili?
19-02-2023 11:33:10
je utakapokula daku ukisikia adhana ya kwanza unatakiwa uwache Kula au umalizie kula mpaka adhana ya pili
24-03-2023 19:20:47
Jee ukimpa mkeo talaka kwa hasira bila ushahidi yoyote yapita.
31-03-2023 13:55:59
Mimi ni Binti wa miaka 24 ,Niko na mchumba ila ni Wa dini nyingine yaan christian nimejaribu kumshawishi na Kwa kiasi Fulani anakaribia kuelewa juu ya uislam , swali langu ni kwamba ni Kwa namna gani naweza mshawishi zaidi na vitu gani nifanye baada ya yeye kukubali kuwa Muslim? Assalam aleykhum!
24-05-2023 07:34:31
Nabii adam ameumbwa kutokana na nini
11-03-2023 16:09:55
je ni ipi hukumu ya mke alietamkiwa na mume wake kuwa akifanya tendo na m/me mwengine ndio talaka yake na mke akafanya zaidi ya mara tatu?
21-04-2023 14:03:04
Ni zipi ishara zilizomo katika nafsi ya mwanadam
27-01-2023 14:56:50
Nataka kujua jinsi yakujua swala wakati wakuswali
25-03-2023 18:51:18
Asalaam alaykum? Shekhe naomba unisaidie khutuba ya ijumaa kwa kiswahili, maana nipo kijijini. Siku moja ilitokea kuswali adhukhuri kwa sababu imamu alikua anaumwa, na hii itasaidia kwa dharula Kama hizi.
08-03-2023 11:48:04
Às/alaikum.naomba kuuliza kupagiwa formula ya mgao wa mirathi..marehem kaacha mil 18 kaacha watoto wa kiume 5 na wa kike 6
20-02-2023 11:02:34
Sababu za mwanaume kupata maumivu baada ya tendo la ndoa
06-03-2023 18:40:29
Kueleza wasifu wa malaika
31-01-2023 06:05:41
Je ni Sahihi kufunga mwezi wa shaaban katika siku 15 za mwisho
13-03-2023 13:59:48
je ni dua ipi imependekezwa zaidi katika swala hii ya tahajjud
16-04-2023 05:24:40
Asalam aleykum warahmatullah,samahn naomba kuulizaa je nilazimaa kusomaa Ile Dua katik swalt subh baada ya kutoka kuruu ukiwa kwey itidali?
05-02-2023 05:35:22
Assalam alaykum nauliza eda ya khulu Ni muda gani? Na wanaweza kuregeana?
15-03-2023 16:29:34
Aesalam alaykum je kur an imeshushwa kwa mudagan
05-05-2023 07:13:24
Asalam alykum nikuwa nauliza ety vifungu vya faradhi ni vingapi?
28-03-2023 04:01:29
Assalamualeykum. Ukiswali rakaa ya 3+ 4 unasoma sura gani baada ya AIHAMDU.
10-02-2023 16:41:49
nimetofautiana na mke wangu tangu siku ya kwanza ya ndoa nimevumilia miaka 2 sasa nikijua atabadilika lakini tabia bado haibadili nifanyaje sinafraha siku zote
27-01-2023 14:57:56
Naitaji kujifunza hatua zote za swala kuanzia kutia udhu pamoja na kusimamisha swala
05-03-2023 20:46:37
A.alaykuuu swalii.....kwa mujibuu wa suratul,asri aliefelii na na alifauluu ni nani
28-01-2023 20:03:10
Swali juu ya swala ya tarawh unaweza kuswal baada tu ya insha
25-03-2023 18:47:28
Nataman kujua Jins ya kujitwaharish kujua kuswali na kusoma Quan je unanisaidiaj?
29-04-2023 06:49:16
Nina suali. Naomba msaada, amefariki mtu ameacha, (1) ndugu yake wa kike wa baba mmoja, mama mmoja.(2) watoto wa ndugu yake wa baba mmoja wanaume na wanawake na (3) watoto wa ndugu yake wa mama mmoja tu. Naomba kujuwa uridhi utakuwaje? Ahsante
21-05-2023 04:38:42
Asalam aleykum swali langu ni hv ni lazima muoge janaba kabla ya swala ya alfajir mkikutana mtu na mke wake katika funga ya ramadhan
23-03-2023 07:26:21
Asalaam aleykum naomba kuuliza mama yake marimu anaitwa nani?
18-02-2023 14:57:46
Asalamu Alaykum warahma tullah wa barakatuu naomba mwalimu wakunifundisha quran online
22-02-2023 04:36:10
Mm naomba ufafanuzi ikiwa mume alikaa sehemu nakusema maneno haya " mm mke wangu nishamuwacha" na mke wake hakumwambia hilo lkn ameisema kauli hio. Jee talaka hii itakuwa imesihi ?
25-04-2023 05:34:30
Nauliza mke wa Nabii Nuhu alikuwa anaitwa nani?
17-02-2023 09:42:20
Dua kwa mama mjamzito anae umwa na hajifungui
15-03-2023 08:05:53
Je km mtu aliishi miaka mingi bila kufunga na anamke wake halali wakati wakiishi walikuwa wanafanya matendo yote ikiwemo kujamiiana kipindi chote cha ramadhan kwa mda wowote iwe Asubuhi au mchana Sasa wameamua waanze kufunga swaum je Hawa watu watahusika na ile hukumu ya kufunga siku 60 mfurulizo? Au kuzilipa zile ramadhan walizo ziacha huko nyuma?
23-03-2023 08:34:42
jee: mtu aka dungwa sindano ita haribu swaumu ya mtu?
05-04-2023 04:17:28
Pia niliomba kufahamu. Ni shuruti panapo paswa kufungwa doa basi baba kutoa idhi ya kuozesha au humuozesha bintie swali je?
kwabinti alie zaliwa nje ya ndoa ninani anae husika kwenye utoaji waidhini au kuozesha binti huyo?.
Assalam alaykum
25-04-2023 04:33:02
Asalam aleykum warahmatullah wabarakatu naomba kuuliza kwamba Nia peke yake inatosha kumfanya mtu awe ameingia katika uislam bila kutaja shahada
Pili kama mtu akashududia kwa kiswahili je inaswihi?
04-03-2023 05:03:57
Swali langu nauliza nikuwa talaka inayokubalika ni talaka zipi
08-03-2023 06:35:54
Swali langu Tofautisha maadili kwa mtazamo wa uislamu na kitwaghuti
18-02-2023 16:17:43
Je mtu aliezidiwa akjitoa manii usiku wa Ramadhan je inakuaje?
28-03-2023 04:02:37
Swali kangu ni: Je Mwanamke mwenye heidh aweza kushika msahafu?
12-02-2023 14:10:16
Je Quran ina sura ngapo?
06-03-2025 01:59:57
Kifo cha bi khadija kilitokana na nini
24-04-2023 13:49:51
Samahn mwalim naomba unisaidie aina Saba za usomaji wa Quran
Taja aina saba za usomaji na mashehe wake na nchi zake kabla ya kuhifadhiwa quran katk msahafu lakwanza ilo
08-02-2023 12:34:23
je kuna hukumu ukifunga siku ya kufungua sita?
29-04-2023 06:27:24
Kama mwanamke amepewa talaka ya kwanza,yapili n yatatu.baina talaka ya2 n 3 akawa n ujauzito
02-05-2023 06:33:01
Ikiwa mke ana Tatizo la kiafya ambalo linapelekea kutoweza kushiriki tendo la ndoa na mumewe. Kuepuka dhambi za kuzini Mumewe akawa anapitisha pitisha uume wake Katika matako ya mkewe bila kugusa tundu la haja kubwa la mkewe akawa anahisi hisi joto mpaka mume anamaliza haja yake (anakojoa). Je, Sheria katika uislamu inasemaje katika suala hilo.
05-04-2023 04:09:21
Eda kwa mwanamke aliyeachwa yaani mwanamke anapoachila katika eda yake anafata vigezo gani?
23-02-2023 05:22:52
Je inafaa kuchoma sindano wakati umo kwenye funga?
28-03-2023 11:26:30
Watu wengi wanasema wakisoma Qur'an sawa ameongea kiarabu swali langu ni kwamba kuna tofauti yoyote kati ya kiarabu na Qur'an au hakuna tofauti
06-03-2023 13:47:18
Habari nijins gani yakuandk talaka
18-02-2023 06:08:34